![]() |
Rooney aliunganisha mpira wa Jonny Evans kwa kuukwamisha mpira wavuni mwa Fulham katika mechi hiyo iliyokuwa ya upinzani.
Ashley Young alikosa nafasi nyingi za wazi ambazo zingeisaidia United kupata mabao zaidi lakini hata hivyo, kipa wa Fulham, Mark Schwarzer alikuwa kikwazo.
Hata hivyo, Fulham ilinyimwa openalti ya wazi baada ya Michael Carrick kumwangusha Danny Murphy ndani ya eneo la hatari lakini mwamuzi akapeta.
No comments:
Post a Comment