Saturday, March 3, 2012

Yanga yatupwa nje Ligi ya Mabingwa Afrika

Bao la Mido katika dakika ya 30, limeisukuma Yanga nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya timu hizo kumaliza kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa taifa, dar es salaam.

Yanga iliyokuwa 10 kwenye mchezo huo wa Millitary Academy chini ya ulinzi mkali, ulitokana na mchezaji wake, Idd Chuji kulimwa kadi nyekundu.

No comments:

Post a Comment