Miss Tanzania 2011, Salha Israel akiwa katika pozi muda mfupi baada ya kuzinduliwa kwa nembo ya Miss Tanzania na Kampuni ya Bia Tanzania, TBL kupitia kinywaji chao cha Redd's kuwa ndiyo watakaodhamini mashindano ya mwaka huu. Mambo hayo yalikuwa Mlimani City juzi usiku. |
No comments:
Post a Comment